Juventus hoi Man City yawika ugenini

Atletico Madrid ilijipatia ushindi mkubwa dhidi ya Juventus katika mechi ya kuwania robo fainli ya vilabu bingwa Ulaya raundi ya kwanza baada ya kusakamwa magoli mawili kwa nunge.
https://almirblog.com/news/juventus-hoi-man-city-yawika-ugenini-7
No comments