Breaking News

recentpost

Audio: Sisco - usizidishe | mp3 download



Tusapoti vipaji vya vijana wetu kama hawa! Amekuja na wimbo mpya kabisa unaitwa " usizidishe".. Wimbo unazungumzia utamu wa mapenzi aliokuwa anapata kwa mpenzi wake kwahiyo akawa anamuomba asizidishe..
Download hapa chini upate kuisikiliza! 


No comments